SpringSoko Delivery

By Emmanuel Nnko on AppTrack Ninja.

Hii App ni kwa ajili ya kutumika na Muuzaji na Msafirishaji kwa bidhaa zilizoagizwa kwenye mfumo wa SpringSoko. Muuzaji ataona maagizo yote yanayotakiwa kusafirishwa kwenye App hii. Ataona pia wasafirishaji wote waliopo tayari kwa usafirishaji. Pia ataweza kuwasiliana na wateja wake na wasafirishaji kupitia jukwa la gumzo lilopo. Kwa kila agizo, muuzaji atakabidhi bidhaa kwa msafirishaji kwa ajili ya kupelekwa kwa mteja. Msafirishaji atapokea bidhaa za agizo husika na kuanza kupeleka kwa mteja. Kwa kupitia ramani ya Google, msafirishaji ataonekana na mteja husika jinsi anavyosafirisha bidhaa …

App Store rankings, screenshots, estimates and similar apps for SpringSoko Delivery.

Loading…