Soka – Mwanaspoti : Live Score
发行商 Mussa Kalokola AppTrack Ninja。
Fast Tanzanian League results
Soka by Mwananchi ni application namba moja inayokuleta karibu na taarifa zote za mechi za ligi kuu na michuano mbalimbali nchini Tanzania. Ndani ya application hii, utaweza kuzifutatilia timu zako pendwa na kuarifiwa kwa haraka yanapotoka, magoli, orodha ya wachezaji wanaoanza kwenye mechi husika, habari na usajili. Pia, utaweza kupata takwimu za ligi na timu mbalimbali kama vile Simba SC, Yanga SC, Azam FC, Mtibwa Sugar, Kagera Sugar, Lipuli FC, KMC, Ndanda FC, Namungo FC, Mwadui FC… Kupitia application hii utaweza kupata: 1. Matokeo mubashara 2. Ratiba za mechi zote 3. Misimamo ya Ligi mba…
分类: Sports, News
的 App Store 排名、截图、估算和类似应用。 Soka – Mwanaspoti : Live Score.