SOKO by tunzaa
퍼블리셔 Tunzaa Fintech Inc. AppTrack Ninja.
Discover, Buy and Sell.
Tunzaa inakuwezesha kufanya malipo ya bidhaa na huduma kwa kiwango kidogo cha pesa kwa kasi yako mwenyewe moja kwa moja kutoka kwenye simu yako ya mkononi ili iwe rahisi kufikia malengo na mipango yako. BIDHAA HALISI NA HUDUMA ZENYE UBORA WA JUU. Tunzaa inahakikisha ubora wa huduma kwa wateja kwa kukagua watoa huduma wetu na pia tunazingatia bidhaa halisi na huduma zenye ubora wa juu. FUATILIA MALIPO YAKO Tunzaa inakupa uwezo wa kufuatilia kila pesa unayoweka kwa ajili ya lengo maalum, kama vile kununua vifaa vya nyumbani, vifaa vya umeme & mtindo na mavazi au safari. JIPIMIE Kuwa huru kujipa…
카테고리: Shopping, Business
의 App Store 순위, 스크린샷, 추정, 유사 앱. SOKO by tunzaa.