Nyimbo Za Kristo
发行商 Justin Bulenga AppTrack Ninja。
Nyimbo za Kristo ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 220 za kitabu kidogo na 405 za kitabu kikubwa za kanisa la Waadventista Wasabato kwa lugha ya Kiswahili. Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote, Nyimbo za kuburudisha, kutia moyo na kukufariji wakati wa huzuni. Sifa za program ni kama zifuatazo:- • Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno yaliyo ndani ya wimbo. • Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katik…
分类: Reference
的 App Store 排名、截图、估算和类似应用。 Nyimbo Za Kristo.