TaxiBubu Riders (Abiria)
퍼블리셔 TaxiBubu Company AppTrack Ninja.
Safiri Salama
KISWAHILI: Programu hii imetengenezwa kusaidia kupunguza idadi ya watu kwenye usafiri wa umma ambapo tumeona mabasi ya umma yakiwa yamejazwa abiria mpaka mlangoni wakati watu wenye magari magari binafsi wanasafiri njia hiyohiyo wakiwa na magari matupu yasiyo na abiria! ABIRIA anapaswa kufika KITUO CHA BASI au STENDI ya mabasi iliyopo karibu naye, kisha kuandika mahala anapoelekea kwenye programu halafu atamchangua DEREVA anayepita njia hiyo hiyo au anayeelekea sehemu karibu na aendako. Vilevile ABIRIA ATASHUKA kwenye kituo cha basi kilichopo karibu na mahala aendako bila kusahau kufanya malip…
카테고리: Travel, Navigation
의 App Store 순위, 스크린샷, 추정, 유사 앱. TaxiBubu Riders (Abiria).