Momoa

Yayıncı erick Justin Nyaluke AppTrack Ninja’da.

Digital Wakala

Momoa ni app inayomuwezesha wakala kutunza taarifa za miamala yake. Badala ya kurekodi miamala kwenye karatasi au kutorekodi, sasa wakala ataweza kutunza taarifa hizo kwenye simu. Kupitia app ya Momoa: Wakala anaweza kurekodi miamala ya kuweka pesa (Ambapo anakua kapokea cash) Wakala anaweza kurekodi miamala ya kutoa pesa (ambapo wakala ametoa cash na kumpatia mteja) Wakala anaweza kurekodi muamala kama ni deni (madeni ni pale mteja hajachukua hela yake au wakala hajapewa hela yake na mteja) Wakala anaweza kurekodi muamala kwa kumuainisha mteja kwa jina au namba ya simu Wakala atakua anaweza …

Kategoriler: Business, Finance

için App Store sıralamaları, ekran görüntüleri, tahminler ve benzer uygulamalar. Momoa.

Loading…
Momoa: Gelir, İndirme ve Anahtar Kelimeler | AppTrack Ninja