TanzMED - Afya Kiganjani
提供 Africa Healthtech Limited AppTrack Ninja。
Afya kwa njia ya Mtandao
TanzMED – Afya Rahisi, Popote Ulipo TanzMED ni jukwaa la kidijitali la afya linalounganisha madaktari, hospitali, maduka ya bidhaa za Afya na urembo, maabara, huduma za afya nyumbani, na zana za afya zinazotumia AI ndani ya programu moja salama. TanzMED imeundwa kwa ajili ya Afrika Mashariki ili kufanya huduma bora za afya zipatikane kwa urahisi, gharama nafuu, na kwa wakati wowote. Afya yako. Programu moja. --> Ushauri wa Daktari Mtandaoni Wasiliana na madaktari na wataalamu wa afya waliothibitishwa kupitia mazungumzo ya video za papo kwa hapo (Instant) au kwa miadi (Appointment). Pata ushau…
カテゴリ: Health & Fitness, Medical
の App Store 順位、スクリーンショット、推定、類似アプリ。 TanzMED - Afya Kiganjani.