Bantu: Usafiri na Matukio
Par Mswahili (T) Company Limited sur AppTrack Ninja.
App Yako ya Kila Siku
Pata safari salama na za kuaminika, nunua kutoka kwa biashara za karibu, na tumia huduma muhimu zote katika sehemu moja. Ita unahitaji usafiri, kugundua matukio, kununua bidhaa kutoka kwa wafanyabiashara wa karibu au kupata huduma mbalimbali, Bantu inakusaidia kufanya mambo yako kwa haraka, urahisi na bila usumbufu. Ukiwa na Bantu, Unaweza: Kuagiza Usafiri Pata usafiri kwa urahisi wakati wowote unapouhitaji. Chagua aina ya usafiri inayokufaa, angalia taarifa za safari na ungana na madereva kupitia mfumo rahisi wa kuagiza usafiri. Gundua Matukio Fahamu matukio yanayoendelea karibu nawe, pata t…
Catégories: Travel, Shopping
Classements App Store, captures, estimations et apps similaires pour Bantu: Usafiri na Matukio.