My Novena
By LB&LN COMPANY LIMITED on AppTrack Ninja.
Novena na Sala za Kikatoliki
My Novena – Sala za Kila Siku za Novena Pata Novena maarufu za Kikatoliki kwa Kiswahili, zikiwemo: Novena kwa Mtakatifu Yosefu Novena kwa Mtakatifu Rita wa Kashia Novena kwa Huruma ya Mungu Novena kwa Mama Bikira Maria Novena kwa mtakatifu Antoni wa Padua Novena ya Roho Mtakatifu App hii ya bure hukuwezesha: 1. Kusali novena kwa siku 9 hadi 12 2. Kuweka alama ya siku uliyoomba 3. Kupata sala za kila siku kwa urahisi 4. Kufuatilia maendeleo yako ya sala 5. Kupata kumbukumbu ya sala maalum kwa kila mtakatifu Tunakupa njia rahisi na ya kiroho ya kukua katika imani yako kupitia sala na tafakari k…
Categories: Books
App Store rankings, screenshots, estimates and similar apps for My Novena.