Ekobin

发行商 GLORY MAIMU AppTrack Ninja。

Mratibu wa Ukusanyaji wa Taka

Ekobin inakuunganisha na magari ya ukusanyaji wa taka yaliyo karibu nawe, hivyo unaweza kuomba huduma ya kuchukuliwa taka wakati wowote na mahali popote kwa urahisi. Iwe ni taka za nyumbani, ofisini, au taka nyingi zinazohitaji kuondolewa, EkoBin ipo tayari kukuhudumia. Fungua app, tuma ombi la ukusanyaji wa taka, kisha waache wakusanyaji wetu waaminifu washughulikie kila kitu kwa haraka na ufanisi.

分类: Lifestyle

的 App Store 排名、截图、估算和类似应用。 Ekobin.

Loading…