Fenicha Popote

发行商 GLORY MAIMU AppTrack Ninja。

Soko la Samani na Fenicha

Fenicha Popote ni soko la mtandaoni la kununua na kuuza fenicha na samani nchini Tanzania. App yetu inakuunganisha moja kwa moja na wauzaji wa fenicha, mbao, vifaa vya ujenzi, mapambo ya ndani, na samani za ofisini. KWA NINI FENICHA POPOTE? BIDHAA MBALIMBALI • Sofa, vitanda, meza, milango, kabati, viti na samani za aina zote • Mbao za mvule, mninga, mkongo na aina nyingine • Vifaa vya ujenzi: mabati, nondo, saruji, rangi • Mapambo ya ndani: vase, picha za ukutani, mazulia • Samani za ofisini: meza za ofisi, viti vya ofisi, kabati za faili WAUZAJI WALIOTHIBITISHWA • Wauzaji wote wanasajiliwa n…

分类: Shopping

的 App Store 排名、截图、估算和类似应用。 Fenicha Popote.

Loading…