Kuza Business
By Swahilies on AppTrack Ninja.
Kuza biashara yako kidijitali
Kuza Business ni aplikesheni ya simu inayomuwezesha mfanyabiashara kurekodi na kutunza taarifa zake zote za msingi kuhusu biashara yake kama bidhaa, mauzo na matumizi. Ukiwa na app ya Kuza Business unaweza kufanya yafuatayo; - Kurekodi bidhaa zako yani Stock - Kurekodi Mauzo Yako - Kurekodi Matumizi Yanayohusu Biashara Yako - Kurekodi wateja wako - Na Kutunza taarifa zingine zote za msingi zinazohusu biashara yako kama watu unaowadai, wanaokudai na taarifa zingine nyingi za msingi. Karibu Kuza Business Uweze Kukuza Biashara Yako Kuza Business is a bookkeeping mobile app for businesses to reco…
Categories: Business, Finance
App Store rankings, screenshots, estimates and similar apps for Kuza Business.