TaxiBubu Drivers (Dereva)

By TaxiBubu Company on AppTrack Ninja.

Ongeza kipato.

KISWAHILI: Kujisaili ni lazima dereva awe na namba ya leseni ya udereva pamoja, kadi ya gari pamoja na namba ya kitambulisho cha taifa (NIDA). Programu hii imetengenezwa kusaidia kupunguza idadi ya watu kwenye usafiri wa umma ambapo tumeona mabasi ya umma yakiwa yamejazwa abiria mpaka mlangoni wakati watu wenye magari magari binafsi wanasafiri njia hiyohiyo wakiwa na magari matupu yasiyo na abiria! ABIRIA anapaswa kufika KITUO CHA BASI au STENDI ya mabasi iliyopo karibu na yeye, atafungua programu halafu atamchangua DEREVA anayepita njia hiyo hiyo au anayeelekea sehemu karibu na aendako kulin…

Categories: Travel, Navigation

App Store rankings, screenshots, estimates and similar apps for TaxiBubu Drivers (Dereva).

Loading…