Twende dereva — ASO

By Twende Technologies Ltd on AppTrack Ninja.

Dereva yeyote aliyesajili Taxi, Bajaj au Bodaboda yake nasi anaweza kutumia kupata abiria kwa ufanisi zaidi Chagua Twende Dereva Sasa! 1. Pakua 'Twende Dereva' bure, kisha kamilisha usajili na vibali vya chombo chako. 2. Tutakuweka kwenye ramani kisha utaanza kupokea maombi ya abiria 3.Abiria atalipa nauli kwa fedha taslimu au kwa simu kulingana na muda pamoja na umbali. 4. Thaminisha na toa maoni kuhusu abiria na safari kwa ujumla Kwa taarifa zaidi tembelea www.twende.co.tz

Categories: Navigation, Travel

Keyword visibility, ranked search terms and daily position movement for Twende dereva.

Loading…
Twende dereva — ASO | AppTrack Ninja