Selpoa

By Christopher Shoo on AppTrack Ninja.

All-in-one shop solution

Biashara bila daftari huisha bila habari. Selpoa ni bure, tunatamani uachane na kuendesha biashara yako kiholela, au kwa kutumia daftari ndio maana tumeamua kuwaletea app ya Selpoa, bure bila malipo yoyote. Lengo letu ni kukuondoa kwenye shida za kuchanganya rekodi zako kwenye daftari, kuchanganya mahesabu, kusahau madeni au kokosea dau la deni, na matatizo mengineyo kama hayo ambayo yanakuondoa kwenye dhumuni kuu la kuchakata akili, kufikiria namna ya kuongeza wateja. Selpoa inakusaidia kufanya yafuatayo:- 1. Kurekodi mauzo, matumizi na madeni. 2. Kufatilia mwenendo wa bidhaa zako stoo, kufa…

Categories: Shopping, Utilities

App Store rankings, screenshots, estimates and similar apps for Selpoa.

Loading…
Selpoa: Revenue, Downloads & Keywords | AppTrack Ninja