aje farms
By Cedcommerce LLC on AppTrack Ninja.
Utajifunza kilimo/ufugaji na pia utaweza kuuza na kununua mazao ya kilimo & mifugo.Ni application ambayo itakukutanisha na kuchat na wataalamu mbalimbali waliobobea kwenye sekta mbalimbali za kilimo biashara kuanzia tathmini ya miradi,huduma za ugani,afya ya mimea na wanyama,mazingira na uwekezaji .Application hii itakuza mtandao wako wa biashara kwa ujumla.Utapata kutazama ziara za mashambani ,mijini,viwandani ndani na nje ya Tanzania huku ukijifunza tamaduni na mila za makabila mbalimbali ya Afrika. Hapa pia utapata taarifa za masoko ya bidhaa mbalimbali za kilimo na mifugo.Unaweza pia kunu…
Categories: Shopping
App Store rankings, screenshots, estimates and similar apps for aje farms.