NJIIMNET

By Olorok Enterprises Limited on AppTrack Ninja.

The car network

Kwa miaka mingi, kununua au kuuza gari kumekuwa na changamoto. Bei zisizo wazi, ada zisizotarajiwa, na maamuzi makubwa bila taarifa kamili. Tumekutengenezea njia rahisi zaidi. Kama unataka kununua au kuagiza gari, NJIIMNET inakusaidia ku-: - Jua bei halisi ya gari kuendana na mwenendo wa soko - Nunua kwa bei ya haki - Okoa muda & nguvu - Pokea ofa nyingi kutoka kwa wauzaji - Linganisha bei kirahisi - Kwepa kulipa zaidi Kama muuzaji, NJIIMNET inakusaidia ku-: - Pata wateja wenye uhitaji - Uza bila kufanya matangazo - Fikia mteja sahihi katika muda muafaka - Jua bajeti ya wateja kabla hata huja…

Categories: Shopping

App Store rankings, screenshots, estimates and similar apps for NJIIMNET.

Loading…