Bantu Dereva: Safari Zinalipa

By Mswahili (T) Company Limited on AppTrack Ninja.

Pata Kipato. Kwa Muda Wako.

Bantu Dereva ni programu inayowaunganisha madereva na barani Afrika, ikikupa fursa ya kujipatia kipato kupitia safari kwa muda unaokufaa. Iwe unaendesha bodaboda, bajaji au gari, Bantu Dereva inakurahisishia kupata abiria walio karibu nawe, kupokea maombi ya safari na kuongeza fursa zako za kipato. Kwa Nini Uchague Bantu Dereva? Ongeza Kipato: Pata fursa zaidi za safari kutoka kwa abiria walio karibu nawe. Fanya Kazi Kwa Muda Wako: Amua lini uanze na lini umalize kazi. Pokea Maombi ya Safari: Unganishwa na abiria kulingana na eneo ulilopo. Ramani na Uelekezaji: Fika kwa abiria na kwenye maene…

Categories: Business, Navigation

App Store rankings, screenshots, estimates and similar apps for Bantu Dereva: Safari Zinalipa.

Loading…