Mama Kijacho

By Mama na Mwana Care on AppTrack Ninja.

Mama mjamzito na malezi

Mama Kijacho ni app rahisi na salama kwa kina mama wajawazito na walezi. Inakusaidia kufuatilia ujauzito wako, kuelewa mabadiliko ya mwili, na kujifunza namna ya kujitunza wewe na mtoto wako. Vipengele Vikuu: 1. Ufuatiliaji wa ujauzito – angalia ukuaji wa mtoto wiki kwa wiki 2. Ushauri wa kila wiki kuhusu afya ya mama na mtoto 3. Kick Tracker – rekodi na fuatilia miguno ya mtoto tumboni 4. Weight Tracker – rekodi na angalia mabadiliko ya uzito wako kwa muda 5. Video na makala za elimu kutoka kwa vyanzo vinavyoaminika 6. Vidokezo vya lishe, dalili na maandalizi ya kujifungua Mama Kijacho imeun…

Categories: Education, Health & Fitness

App Store rankings, screenshots, estimates and similar apps for Mama Kijacho.

Loading…
Mama Kijacho: Revenue, Downloads & Keywords | AppTrack Ninja