Dukani - Simamia biashara yako
By KAPPU FINTECH LIMITED on AppTrack Ninja.
Biashara yako, mikononi mwako
Dukani — Simamia biashara yako kwa uelewa zaidi Dukani ni programu rahisi na salama ya kusimamia biashara, iliyoundwa kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo na wa kati Tanzania. Iwe una duka la rejareja, grocery, kiosk, minimarket, jumla au biashara nyingine, Dukani inakusaidia kurekodi na kufuatilia shughuli muhimu za biashara yako kwa urahisi. Jua mauzo yako, fuatilia bidhaa zako, simamia madeni na gharama, na pata picha nzuri ya biashara yako — hata ukiwa huna intaneti. SIMAMIA BIASHARA YAKO Dukani inakusaidia: • Kurekodi mauzo kwa haraka • Kufuatilia bidhaa na stock • Kurekodi manunuzi na ku…
Categories: Business
App Store rankings, screenshots, estimates and similar apps for Dukani - Simamia biashara yako.