Songwe Kiganjani
By TIMEOUT DIGITAL on AppTrack Ninja.
Songwe Serikali Kiganjani
Mkoa wa Songwe unawakaribisha Wananchi wote kujiunga na Mfumo wa pamoja ambao unachochea upatikanaji wa fursa za kiuchumi,Mikopo, Biashara, Mafunzo na Ajira, pia kupitia Mfumo huu utajenga matumaini na kuwaunganisha wananchi haswa Vijana kuanzia ngazi ya Kijiji/Mtaa, Kata, Wilaya, Mkoa hadi Taifa
Categories: Utilities, Reference
App Store rankings, screenshots, estimates and similar apps for Songwe Kiganjani.