Kilimobando App

By BIZY TECH on AppTrack Ninja.

Kilimo

KILIMO BANDO ni jukwaa la kidijitali linalolenga kuboresha maisha ya wakulima wadogo na biashara ndogo na za kati za kilimo (ASMEs) katika Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara. Kupitia KILIMO BANDO , wakulima wanaweza kufurahia huduma mbalimbali kama vile: 1) Kilimo Akiba: Huduma ya kuweka akiba kwa ajili ya pembejeo za kilimo kupitia simu za mkononi au mawakala wa benki. Hii inawasaidia wakulima kupanga na kujiandaa kwa msimu wa kilimo. 2) Kilimo Mkopo: Ushirikiano na taasisi za kifedha kutoa mikopo kwa wakulima ili waweze kuwekeza kwenye mashamba yao na kuongeza uzalishaji. 3) Kilimo Bora: El…

Categories: Productivity, Business

App Store rankings, screenshots, estimates and similar apps for Kilimobando App.

Loading…