Fundi Kiganjani — ASO
By ELLEANNA CONSTRUCTION LTD on AppTrack Ninja.
Pata huduma sahihi kwa haraka.
Fundi Kiganjani: pata huduma sahihi, kwa haraka. Andika tatizo lako au pitia kategori na tutakuonyesha mafundi waliothibitishwa walio karibu na wewe ndani ya Tanzania. Mazungumzo na watoa huduma pamoja na ufuatiliaji vyote vinafanyika ndani ya app. KWA WATEJA • Tafuta kwa kuelezea tatizo au kuchagua kategoria. mf. bomba la maji linavuja, AC haifanyi kazi, soketi imeungua, n.k. • Linganisha watoa huduma walioko karibu nawe kwa ujuzi, eneo, n.k. • Tuma maombi kwa watoa huduma moja kwa moja: anayefaa zaidi atapokea taarifa. • Mazungumzo ndani ya app, picha na maelezo yote yanabaki pamoja na ombi…
Categories: Lifestyle, Utilities
Keyword visibility, ranked search terms and daily position movement for Fundi Kiganjani.