Shahidi
By FESTO MJOGOLO on AppTrack Ninja.
Mzigo bila hofu
Shahidi ni mfumo wa kuthibitisha utoaji wa mizigo nchini Tanzania. Pale muuzaji wa Mwanza anapomtumia mteja wa Dar es Salaam, mzigo hupita kwa watu wasiojuana — msaidizi wa stendi, dereva wa Bajaji, karani wa ofisi. Mara nyingi mambo huenda vizuri. Wakati mwingine hayaendi. Hapo zamani hakukuwa na njia ya kuthibitisha kilichotokea — ni hadithi tu zinazoongelewa baadaye. Shahidi inahifadhi kila kabidhi kwa PIN ya tarakimu 6 inayotumwa kwa SMS. Msafirishaji na mteja hawahitaji app yetu — Shahidi inafanya kazi na simu yoyote inayopokea SMS. Muuzaji tu ndiye anahitaji app. JINSI INAVYOFANYA KAZI …
Categories: Business, Productivity
App Store rankings, screenshots, estimates and similar apps for Shahidi.