Kwetuflix

By Kwetuflix llc on AppTrack Ninja.

App hii inaleta burudani na habari za Kiswahili kwa pamoja!** Utapata filamu bora za Kiafrika na za Kiswahili, maudhui kutoka kwa diaspora, podcast mbalimbali za Kiswahili, matukio (events) mbalimbali, habari za kila siku, na bila kusahau **Bongo Hood**. Ni sehemu moja ya kufurahia, kujifunza na kuunganishwa na maudhui ya Kiswahili kutoka Afrika na duniani kote. Terms of Use : https://www.apple.com/legal/internet-services/itunes/dev/stdeula/

App Store rankings, screenshots, estimates and similar apps for Kwetuflix.

Loading…