Vumbua POS — ASO
By VUMBUA TEC SOLUTIONS COMPANY LIMITED on AppTrack Ninja.
Vumbua POS ni programu ya duka — kuuza, kufuatilia stoo, na kukumbuka nani anadaiwa nini. Imetengenezwa kwa maduka ya Tanzania, kwa Kiswahili, na inafanya kazi bila intaneti. KUUZA Gusa bidhaa, chagua namna ya kulipa — cash, pesa ya simu, deni au kugawanya — kisha maliza. Risiti inatoka papo hapo: ishiriki kwa WhatsApp, itume kwa barua pepe, au ichape kwa printa ya Bluetooth. BILA INTANETI Mauzo yanaandikwa kwenye simu kwanza. Mtandao ukirudi, kila kitu kinasawazishwa chenyewe. Huna haja ya kusubiri mtandao ili kuuza. STOO Ona kila bidhaa, bei yake, na faida unayotarajia. Programu inakuambia …
Categories: Business, Productivity
Keyword visibility, ranked search terms and daily position movement for Vumbua POS.