Agricom Technician — ASO
By ICT PFIXERS COMPANY LIMITED on AppTrack Ninja.
Kazi na mafundi wa Agricom
Agricom Technicians ni kifaa cha kazi kwa mafundi wa Agricom, kilichotengenezwa ili tukuhudumie haraka na kwa uhakika. Kupitia programu hii, fundi wa Agricom anaweza: • Kufika kwako akiwa tayari anajua mashine yako na historia yake ya matengenezo • Kufungua na kufunga job kadi papo hapo, bila karatasi • Kuagiza vipuri unavyohitaji akiwa bado shambani kwako • Kukupa taarifa kamili ya kazi iliyofanyika kabla hajaondoka Faida kwako: huduma ya haraka, rekodi sahihi ya mashine yako, na hakuna kusubiri. Programu hii ni kwa matumizi ya mafundi walioidhinishwa na Agricom Africa Limited. Kama wewe ni …
Categories: Productivity
Keyword visibility, ranked search terms and daily position movement for Agricom Technician.