Agricom Sales — ASO

By ICT PFIXERS COMPANY LIMITED on AppTrack Ninja.

Mauzo ya Agricom

Agricom Sales ni kifaa cha kazi kwa timu ya mauzo ya Agricom, kilichotengenezwa ili tukufikie popote ulipo. Kupitia programu hii, mwakilishi wa Agricom anaweza: • Kukuonyesha mashine, vifaa na vipuri pamoja na bei halisi, papo hapo • Kukuandalia proforma invoice ukiwa shambani kwako • Kupokea oda yako bila kusubiri kurudi ofisini • Kufanya kazi hata pasipo na mtandao, hivyo maeneo ya vijijini hayatuzuii Faida kwako: bei sahihi, majibu ya haraka, na huduma inayokufuata hadi shambani. Programu hii ni kwa matumizi ya wafanyakazi wa Agricom Africa Limited. Kama wewe ni mteja, pakua Agricom Africa…

Categories: Productivity

Keyword visibility, ranked search terms and daily position movement for Agricom Sales.

Loading…
Agricom Sales — ASO | AppTrack Ninja