Agricom Aftersales — ASO

By ICT PFIXERS COMPANY LIMITED on AppTrack Ninja.

Kifaa cha timu ya Agricom

Agricom AfterSales ni kifaa cha kazi kwa timu ya Agricom, kinachotusaidia kujua huduma zetu zinapatikana wapi na wewe uko wapi. Kupitia programu hii, timu ya Agricom inaweza: • Kuona wateja, mawakala, wauzaji na mafundi katika ramani moja • Kutambua fundi aliye karibu nawe zaidi wakati unahitaji huduma • Kupanga ziara na huduma kwa ufanisi katika kila eneo • Kusajili mdau mpya papo hapo, bila kusubiri Faida kwako: fundi wa karibu anapatikana haraka, na hakuna eneo linalosahaulika. Programu hii ni kwa matumizi ya wafanyakazi wa Agricom Africa Limited. Kama wewe ni mteja, pakua Agricom Africa. …

Categories: Productivity

Keyword visibility, ranked search terms and daily position movement for Agricom Aftersales.

Loading…
Agricom Aftersales — ASO | AppTrack Ninja